Top Search

LyricsCopy.com

Karo

by New Jay

lyricscopy.com
[Hook]

Nilikupa roho sintokunyima karo,karo
Oh, mpenzi Karo
Nilikupa roho
Nilikupa roho sintokunyima karo,karo
Oh, mpenzi Karo

[Verset 1]

Ndugu zako wanadai sikupendi
Eti msani, mimi nakudanganya
Wanadai sina mapenzi kwako
Eti ntakuumiza mama
Wanatowa mifano ya wenzangu walowachana na wao

[Hook]

Nilikupa roho sintokunyima karo,karo
Oh, mpenzi Karo
Nilikupa roho
Nilikupa roho sintokunyima karo,karo
Oh, mpenzi Karo

[Verste 2]

Wanadai nikizipata eti mama nitakutupa
Hawajui tulipo toka vipi wajue tunapokwenda, mama
Roho, ina samani zaidi ya bahari
Inazidi wanaopana hummer,
Moyoni hawana mapenzi,
Moyoni hawana mapenzi ya kweli,
Moyoni hawana mapenzi,

[Hook]

Nilikupa roho sintokunyima karo,karo
Oh, mpenzi Karo
Nilikupa roho
Nilikupa roho sintokunyima karo,karo
Oh, mpenzi Karo

[Verset 3]
Yeah, mapenzi ya kweli
Hayapimanishwi na chochote
Ni zaidi ya alimasi,ni zaidi ya dhahabu, zaidi ya bahari
Nilikupa roho,ni zaidi ya kila kitu
Anayekupenda, akupe roho sio mali
Yeah, umesikiya mziki wa wakubwa,
Sugu Jay Tishio navo bembeleza
Katika hii beat alogonga Herry,
This dedication kwa wale wote munajua maana ya mapenzi
Maana ya kupenda
Love is everything
Kama unampenda anaye kupenda
Yeah

[Hook]

Nilikupa roho sintokunyima karo,karo
Oh, mpenzi Karo
Nilikupa roho
Nilikupa roho sintokunyima karo,karo
Oh, mpenzi Karo

Respect Prosper Savonor
Thanks Boss
For lucky for me
Browse Artists :

# A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

Karaoke : Backing tracks & videos - Karaoké files

Karaoke Fun !